LIVE STREAM ADS

Header Ads

Machinga Mwanza "tutafanya kazi kwa uhuru maeneo yakiboreshwa"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Serikali imetenga zaidi ya maeneo 10 kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo jijini Mwanza. Miongoni mwa maeneo hayo ni Mkwajuni maarufu kama Machinga Complex Kata ya Igoma. BMG TV imefika katika eneo hilo na kuzungumza na mmoja wa wafanyabiashara waliopo.

No comments:

Powered by Blogger.