LIVE STREAM ADS

Header Ads

Nina mtihani mkubwa, mtoto anajua mama amesafiri- Mume wa Husna Mlanzi ‘RIP’

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ramadhan Maganga ambaye ni mme wa Husna Mlanzi ameeleza namna yeye na familia yake wameelemewa na kifo cha mkewe huyo aliyefariki duniani Januari 11, 2022 kwenye ajali ya gari akiwa na wenzake wakielekea kwenye ziara ya kikazi. Husna Mlanzi alikuwa mwandishi wa habari wa ITV Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.