Mkali wa Nigeria, Henry Adams amvuta Jaywillz ndani ya wimbo Wake
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Nigeria, Henry Adams ambaye anakuja kwa kasi kubwa kimuziki kutokea nchini nigeria akiwa anawakilisha vyema muziki aina ya Afrobeat huku akiwa pia ni moja ya msanii ambaye ana amini katika talanta yake akiwa anawakilisha Nigeria.
Henry Adams ni msanii kutoka katika lebo ya muziki ambayo inaitwa OBAFUNSHY RECORDS na sasa ameamua kuja na ngoma yake moya aliwa ameshirikiana na Mkali JAYWILLZ ngoma iitwayo Rest Assured ambayo pia video yake inanya vizuri kupitia Youtube yake.
Unaweza kuwa nae karibu zaidi kwa kufuatilia mitandao yake ya kijamii kama instagram @henryadams_official
No comments: