LIVE STREAM ADS

Header Ads

Baba Yunis akiri mama Yunis kuondoka na mtoto

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mzee Julius Ogot amekiri kutokea sintofahamu iliyosababisha mkewe kuondoka nyumbani na mtoto Yunis Ogot aliyekuwa akiombea watu kwa sala na maji ya baraka katika Kijiji cha Bukama wilayani Rorya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.