LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waandishi wa Habari Vijijini wapata viongozi wapya

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Viongozi wakuu wa RUJAT wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma, Jumapili Oktoba 1,2023.
***

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT) kimefanya Mkutano Mkuu wa Mwaka pamoja na uchaguzi wa viongozi ambapo Neville Meena aliyekuwa Katibu wa muda amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa RUJAT, Prosper Kwigize aliyekuwa Mwenyekiti wa muda akichaguliwa kuwa Katibu Mkuu, Editha Majura Mweka Hazina na Zania Miraji Kweka akichaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti.

Katika Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma Jumapili Oktoba 1,2023, pia wajumbe sita kulingana na Kanda wamechaguliwa ambao ni Anne Rhobi (Pwani), Meshack Ngumba (Magharibi), Hamida Ramadhani(Kati), Musa Juma (Kaskazini), Neema Emmanuel (Kanda ya Ziwa) na Felix Mwakyembe (Kusini).

Akizungumza katika Mkutano huo, uliodhaminiwa na Wakala wa Umeme Vijijini REA, STAMICO na TANAPA, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena amesema kazi kubwa sasa ya chama hicho ni kupata wanachama wengi zaidi ili kujenga RUJAT yenye nguvu.

Kwa upande wake, Katibu Mkuu wa RUJAT , Proper Kwigize ambaye ni Mwenyekiti Muasisi wa RUJAT, amesema lengo la Chama hicho ni kuondoa utofauti wa vijijini na mijini kwani katika maeneo mengi ya vijijini hawapati taarifa habari mfano pale majanga yanatokea vijijini wananchi hawapati taarifa.

“RUJAT ni chama cha kipekee sana, hivi sasa kina wanachama 38. Tunataka kuandika habari za kusisimua maendeleo vijijini, tunataka kuondoa mitazamo ya kwamba hakuna haja ya kuandika habari za vijijini. Vyombo vya habari vinafanya vizuri kutokana na kwamba kuna waandishi wa habari vijijini. Uandishi wa habari vijijini ni muhimu sana, hakuna Tv, Redio, Gazeti linatukimbia sisi waandishi wa habari za vijijini” amesema Kwigize.

Amesema RUJAT imepanga kufungua tovuti ambayo itakuwa inachapisha habari mbalimbali za vijijini ambayo itakuwa inatumiwa na waandishi wa habari kusambaza habari wanazoandika.
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma, Jumapili Oktoba 01,2023
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Neville Meena akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.

Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT),Prosper Kwigize akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT) ,Prosper Kwigizeakizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT),Prosper Kwigize akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT), Prosper Kwigize akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.

Mweka Hazina wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT) Editha Majura akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.

Mwanachama wa Chama cha Waandishi wa Habari Vijijini (Rural Journalists Association of Tanzania (RUJAT) , Felix Mwakyembe akizungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa RUJAT uliofanyika katika ukumbi wa Mamlaka ya Hifadhi za Taifa - TANAPA Kanda ya Kati jijini Dodoma.
Afisa kutoka Benki ya NMB, Jastine Bandoma akitoa elimu kuhusu Bima zinazotolewa na Benki ya NMB.
Afisa kutoka Benki ya NMB, Jastine Bandoma akitoa elimu kuhusu Bima zinazotolewa na Benki ya NMB.
Afisa kutoka Benki ya TCB, Azory Mpungo akitoa elimu kuhusu Bima zinazotolewa na Benki ya TCB.
Afisa kutoka Benki ya TCB, Azory Mpungo akitoa elimu kuhusu Bima zinazotolewa na Benki ya TCB.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Wanachama wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu.
Wanachama wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu.
Wanachama wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu.
Viongozi wapya wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu.
Viongozi wakuu wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu na mdau kutoka Benki ya TCB.
Viongozi na wanachama wa RUJAT wakipiga picha ya kumbukumbu na mdau kutoka Benki ya NMB.

No comments:

Powered by Blogger.