LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wasanii wakaribishwa kwenye mashamba ya Vanilla

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkurugenzi wa kampuni ya Vanilla International Limited, Simon Mnkondya amewakaribisha wasanii mbalimbali hasa ambao wameshuka kimuziki ili wawekeze kwenye kilimo cha Vanilla na kukuza soko la zao hilo.

Mkondya amesema kampuni ya Vanilla International Limited ina mashamba makubwa ya kilimo cha vanilla duniani kwa njia ya Greenhouses ikiwa na mradi mkubwa kuliko yote ya kilimo cha vanilla duniani na wanafanya kilimo hicho kwa njia za kisasa wakiwa wamekuchukua Teknolojia Israel.

No comments:

Powered by Blogger.