Meya Mwanza apokea vifaa tiba kutoka Wurzburg Ujerumani
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imepokea msaada wa vifaa tiba kutoka Jiji la Wurzburg nchini Ujerumani, vyenye thamani ya shilingi milioni 115 ikiwa ni matunda ya ushirikiano baina ya majiji hayo rafiki.
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine amesema vifaa hivyo vimelenga kuimarisha utoaji huduma za afya katika wodi ya watoto wachanga iliyopo Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana, Butimba.
Mwonekano wa baadhi ya vifaa tiba.
Baadhi ya watumishi hospitali ya Butimba jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA PIA>>> JIJI RAFIKI
No comments: