LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanachama jumuiya ya LVRLAC wakumbushwa wajibu wao

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Halmashauri 42 kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa inayounda jumuiya ya LVRLAC, zimehimizwa kutimiza wajibu wa kulipa ada kwa wakati ili kuiwezesha jumuiya hiyo kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Rai hiyo imetolewa Aprili 04, 2024 jijini Mwanza kwenye mkutano wa wadau wa maendeleo Kanda ya Ziwa Victoria ulioandaliwa na jumuiya hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> HABARI ZAIDI HAPA

No comments:

Powered by Blogger.