Rais Samia awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa Dkt. Ngugulile
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

Shughuli ya kuuaga mwili wa Dkt. Ndugulile imefanyika katika uwanja wa Karimjee jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, wananchi na familia.
Dkt. Ndugulile aliyezaliwa mwaka Machi 31, 1969 alifariki Disemba 27,2024 wakati akipatiwa matibabu nchini India ambapo mazishi yake yanafanyika Disemba 03,2024 katika makaburi ya Mwongozo Kigamboni jijini Dar.
No comments: