Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Nipashe, Rose Jacob (kulia) ambaye pia Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Nyamagana amechukua fomu ya kugombea nafasi ya udiwani Viti Maalum Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Mwanahabari achukua fomu ya udiwani Viti Maalum Nyamagana
Reviewed by
BMG Media
on
July 01, 2025
Rating:
5
No comments: