LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Biteko ashiriki mazishi ya Ndugai

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
DKT. BITEKO ASHIRIKI MAZISHI YA SPIKA MSTAAFU, MHE. NDUGAI.


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko Jumatatu Agosti 11, 2025 ameshiriki mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai yaliyofanyika katika Kijiji cha Sujulile, wilayani Kongwa mkoani Dodoma.

Mazishi hayo yaliongozwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Viongozi wa Dini.

No comments:

Powered by Blogger.