LIVE STREAM ADS

Header Ads

NZILANYINGI ACHUKUA FOMU INEC, ASIMAMISHA MITAA YA JIJI LA MWANZA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya ubunge Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, John Nzilanyingi, Jumanne Agosti 26, 2025 amefika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC), kuchukua fomu ya kugombea.

Nzilanyingi amefika katika ofisi za INEC zilizopo katika ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza, huku akisindikizwa na mamia ya wafuasi wa chama hicho kiasi cha kusimamisha kwa muda mitaa ya Jiji la Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.