HABARI PICHA. NATTY E MKALI WA HIP HOP NA MTANGAZAJI WA METRO FM KUTOKA ROCK CITY MWANZA NI SHIDA TUPU. KWA HIZI PICHA USIPOCHEKA NAKUPA POLE.
![]() |
Watangazaji wa Metro FM ya Jijini Mwanza Wakishow love na CMB Prezoo. Kushoto ni Natty E, katikati Prezoo na wa mwisho kulio ni Dk.Tonny. |
![]() |
Anafahamika kwa jina la Illumination kutoka jijini Dar es salaam.Msibirie katika kazi ya pamoja na Natty E soon ambayo inakwenda kwa jina la Alarm. |
hapa mwendo mdundo tuuuu.Huyu ndie Natty E mwenyewe Mkali wa Hip Hop kutoka Rock City |
Lazima wakae, yani hapa ni Shida mpaka mwaka mpya....hahahahahaaaaaa Natty E mwana. |
No comments: