LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAHUSIANO: HONGERA AMINA RASHID, MTANGAZAJI WA RADIO METRO KWA ZAWADI ULIYOTULETEA.

Amina Mwana Wa Rashid ambae ni Mtangazaji wa Radio Metro, Jana ametuletea zawadi nzuri maishani. Zawadi yenyewe ni Zawadi ya Mtoto. Amina alijifungua salama salimini jana tarehe 23/06/2014 majira ya saa kumi na mbili za jioni katika Hospital ya Rufaa Bugando. Na ametuletea zawadi ya mtoto wa Kiume hivyo hivi sasa ni Mama wa Mtoto Mmoja. Japo hajapewa jina lakini Wajomba na Mashangazi zake Kutoka Radio Metro wamempa jina la Ndele.Mtanzania Media Inakupongeza Mamaaa Ndele kwa Kujifungua salama na inakutakia Malezi mema ya Mwanao Mpendwa.

No comments:

Powered by Blogger.