DR.TONNY, MC.KATUMBA PAMOJA NA MTOTO MZURI DEBORA NDANI YA PAMBAZUKO LA METRO FM.
Host wa Show ya Pambazuko la Metro Fm kupitia 99.4 Radio Metro Mwanza Alphonce Tonny Kapela a.k.a Dr.Tonny (Kushoto) akiwa na Mtangazaji mwezie Debora Damian (Kulia) ndani ya Show hiyo hii leo.
Na:Mhariri Binagi Media Group
Pambazuko la Metro Fm ni Kipindi kinachoruka hewani Kupitia 99.4 Radio Metro FM Live kutoka Jijini Mwanza, kila siku za Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 06:00 asubuhi hadi saa 09:00 asubuhi kikiwa kimesheheni mambo mengi.
Leo March 20 BINAGI MEDIA GROUP Kupitia Binagi Radio Online tunaungana na 99.4 Radio Metro Fm na kukusogezea sehemu ya Mazungumzo ya Kipindi kilichoruka hewani asubuhi ya leo ambapo kama kawaida Dr.Tonny, Mtoto Mzuri Debora pamoja na Mc.Katumba ndio walikuwa wenyeji wako katika Kipindi hicho.
BONYEZA PLAY KUSIKILIZA
No comments: