LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAKALA MAALUMU NAMNA REBU SEKONDARI TARIME ILIVYOTEKELEZA UJENZI WA MAABARA ZAKE ZOTE.

Pichani kutoka katika moja ya maabara iliyopo Shule ya Rebu Sekondari iliyopo Tarime Mkoani Mara ambapo Kutoka Kushoto ni Esther Emmanuel ambae ni Mwanafunzi wa Kidato cha nne shule ya Sekondari Rebu Sekondari, akifuatiwa na George Binagi-GB Pazzo (Mtangazaji/ Mwandishi Metro Fm Mwanza & Binagi Media Group). Anaefuata ni mwanafunzi wa Shule hiyo Julius Mgaya (Wa pili Kulia) akifuatiwa na Mwl.Steven Togolo Tabu (Wa Kwanza kulia) ambae ni mmoja wa waalimu wa Masomo ya Sayansi Shuleni hapo. 
 BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA.

Kulia ni George Binagi-GB Pazzo (Mtangazaji/ Mwandishi Metro Fm Mwanza & Binagi Media Group) akizungumza na Esther Emmanuel ambae ni Mwanafunzi wa Kidato cha nne shule ya Sekondari Rebu Sekondari (Kushoto) kuhusiana na ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari Rebu,
Kushoto ni George Binagi-GB Pazzo (Mtangazaji/ Mwandishi Metro Fm Mwanza & Binagi Media Group) akizungumza na Julius Mgaya (Kulia) ambae ni mwanafunzi Rebu Sekondari.
Mwl.Steven Togolo Tabu (mbele) ambae ni mwalimu wa masomo ya Physics na Maths Rebu Sekondari
Mwl.Steven Togolo Tabu (Kusho) ambae ni mwalimu wa masomo ya Physics na Maths Rebu Sekondari akiwa na Mkuu wa Shule hiyo Mwl.Nelson Richard katika Moja ya Maabara ya Shule hiyo ambayo imekamilika. Walio nyuma yao ni wanafunzi wa Rebu Sekondari walio Kidato cha Kwanza.
Kushoto ni George Binagi-GB Pazzo (Mtangazaji/ Mwandishi 99.4 Metro Fm Mwanza & Binagi Media Group) akizungumza na Mkuu wa Shule ya Sekondari Rebu Mwl.Nelson Richard (Kulia) ofisini kwake wiki iliyopita.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Rebu Mwl.Nelson Richard (katikati) akionyesha majengo ya Maabara katika Shule hiyo. Kulia ni Zablon Gilliard ambae ni mmoja wa wanafunzi waliohitimu Rebu Sekondari.
Miongoni Mwa majengo ya Maabara Rebu Sekondari Tarime Mkoani Mara.
GPA ndo hizi Waungwana.
Imeletwa kwenu na Tunda la Rebu Sekondari George Binagi-GB Pazzo kwa Hisani ya 99.4 Metro Fm, Pamoja na Wewe & Binagi Media Group, Kwa Pamoja Tuijuze Jamii. 

No comments:

Powered by Blogger.