LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA ARE YOU READY? SAFARI LAGER NYAMA CHOMA NI JUMAMOSI KATIKA UWANJA WA FURAHISHA.

Na Mhariri: Binagi Media Group
Mabibi na Mabwana Mkoani Mwanza sote tunajua kwamba Hakuna nyama choma bila Safari Lager. Sasa ili kufahamu ni bar gani iliyo bora Mkoani Mwanza ambayo unaweza kufika na kujipatia Safari Lager plus Nyama Choma unatakiwa kufika katika Uwanja wa Furahisha Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza Jumamosi hii ya March 07, 2015 katika Fainali za Mashindano ya Safari Lager Nyama Choma.

Kumbuka hakuna Kiingilio hivyo hii si ya Kukosa ambapo kwa upande wa Burudani, Jambo Stars watasimamia live Mpango Mzima. Mwambie na Mwenzio ambapo tunasema Nyama choma na Safari Lager, Ndio Mpango Mzima.

No comments:

Powered by Blogger.