LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAMASHA LA GOSPEL CONCERT & CONFERENCE MEMORIAL MJINI COLUMBUS LAFANA.


Mwimbaji mahili wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone akiimba moja ya nyimbo zilizowainua watu vitin kwenye tamasha la Gospel lililoanza tangu siku ya Ijumaa iliyopita ya May 22, 2015 mjini Columbus Marekani na kuhitimishwa hii leo siku ya Jumapili May 24, 2015. Tamasha hili lilihudhuriwa na watu kutoka mataifa mbalimbali duniani.
Picha na Kwanza Production

Mwimbaji kutoka Jamhuri ya Congo akienda sambamba na mwimbaji mahili wa nyimbo za injili Upendo Nkone kwenye tamasha la Gospel lililofanyika siku ya Jumamosi May 23, 2015 6230 Busch Blvd suit 260, Columbus, OH 43229.

 Nnunu Nkone akitoa neno la Mungu na kuimba kwenye Tamasha la Gospel lililofanyika
Mchungaji Donis Nkone ambaye ni kaka ya mwimbaji Upendo Nkone akitoa ukifanya utambulisho kwa bendi iliyokuwa ikitumbuiza nyimbo za injili kwenye tamasha la Gospel lililofanyika siku ya Jumamosi May 23, 2015 mjini Columbus.

Mchungaji Donis Nkone na mkewe Nnunu Nkone wakifuatilia tamasha la Gospel

Bendi ikienelea kupiga moja ya nyiimbo za mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Tanzania Upendo Nkone.

Bendi ikitumbuiza.




No comments:

Powered by Blogger.