LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHADEMA YAZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZAKE WILAYANI NYAMAGANA.

Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambae pia alikuwa mbunge wa Jimbo hilo Ezekiel Dibogo Wenje akihutubia katika uzinduzi wa Kampeni za Chadema za Uchaguzi Mkuu katika Wilaya ya Nyamagana hii leo. Chadema imezindua Kampeni hizo kwa ushirikiano na Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.

Akihutubia umati wa WanaUKAWA pamoja na wananchi waliohudhuria Mkutano huo uliofanyika katika Uwanja wa Mbugani Jijini Mwanza, Wenje ameomba ridhaa ya kuchaguliwa katika awamu nyingine kuwa Mbunge wa Nyamagana ili akaendeleze juhudi zake za kuisukuma serikali bungeni ili kuhakikisha kuwa jimbo la nyamagana linapiga hatua kimaendeleo.
Na:George GB Pazzo
Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambae pia alikuwa mbunge wa Jimbo hilo Ezekiel Dibogo Wenje akihutubia katika uzinduzi wa Kampeni za Chadema za Uchaguzi Mkuu katika Wilaya ya Nyamagana hii leo.
Mwenye kinasa sauti ni Thabita Dibogo Wenje ambae ni Mama mazazi wa Ezekiel Wenje akisalimia katika Mkutano wa Uzinduzi kampeni za Chadema Wilayani Nayamagana. Hii ni baada ya siku chache kujitokeza mama mmoja na kudai kuwa ni mama yake wenje na kwamba Wenje amemtelekeza.
Mwenye kinasa sauti ni Flora Wenje ambae ni Mke wa Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Nyamagana Ezekiel Dibogo Wenje akisalimia katika Mkutano wa Uzinduzi kampeni za Chadema Wilayani Nayamagana.
Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana Mkoani Mwanza kwa Tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambae pia alikuwa mbunge wa Jimbo hilo Ezekiel Dibogo Wenje akiwatambulisha wagombea Udiwani wa Jimbo hilo

Wanachama 15 wa ACT Wazalendo waliorudisha kadi za Chama chao na Kujiunga na Chadema
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Victoria (Kanda ya Ziwa Magharibi) Peter Megere akifungua Mkutano ambapo ametoa rai kwa Wananchi kuwachagua viongozi wote kupitia Ukawa kuanzia Madiwani, Wabunge pamoja na Rais
Vicent Nyerere akisalimia katika Mkutano wa Chadema kupitia Ukawa katika Uzinduzi wa Kampeni Jimbo la Nyamagana
Anafahamika kwa jina la Nzungu akisalimia katika mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi za Chama cha Maendeleo Chadema kupitia Ukawa
Flora Mbasha akitumbuiza Jukwaani
Piiiiipoooooooooooo!!!
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.