LIVE STREAM ADS

Header Ads

MVUA ILIYONYESHA JIJINI MWANZA LEO YASABABISHA ADHA KUBWA.

Mvua ya Wastani iliyonyesha hii leo Jijini Mwanza imesababisha adha kwa watumiaji wa Barabara pamoja na Wafanyabiashara baada ya Maji kujaa katika barabara Balewa inayounga na ile ya Nyerere. 
Na:George GB Pazzo
Hii ni kutokana na Mitaro ya barabara hiyo pamoja na ile inayotoka Soko Kuu la Jijini Mwanza kuziba na kushindwa kupitisha maji. Mara kadhaa hali hii imekuwa ikijitokeza mvua inaponyesha Jijini Mwanza. 
Maji yaliyotuama katika barabara ya Balewa Jijini Mwanza baada ya mvua iliyonyesha hii leo
Maji yaliyotuama katika barabara ya Balewa Jijini Mwanza baada ya mvua iliyonyesha hii leo
Maji yaliyotuama katika barabara ya Balewa Jijini Mwanza baada ya mvua iliyonyesha hii leo
Kutoka Soko Kuu Jijini Mwanza hali ilikuwa hivi
Maji yaliyotuama katika barabara ya Balewa Jijini Mwanza baada ya mvua iliyonyesha hii leo.

No comments:

Powered by Blogger.