LIVE STREAM ADS

Header Ads

PIGA KURA, EPUKA KULA KAMPENI, DAVITA KALUBWA WA TBC ATOA NASAHA NZITO.

"Naitwa Dativa Kalubwa ni Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC kutoka Jijini Mwanza. Katika Kampeni hii ya Piga Kura, Epuka Kula mimi nasema Kupiga Kura ni Uzalendo, Kutopiga Kura ni Uhaini. Watanzania tuwe wazalendo na tushiriki kupiga kura kwa amani ili tuwachague viongozi tuwatakao kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu"
Kujua Zaidi Juu ya Kampeni hii ya Piga Kura, Epuka Kula inayoendeshwa na Binagi Media Group Bonyeza HAPA.

No comments:

Powered by Blogger.