LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI RADIO: WATANZANIA WATAKIWA KUJENGA IMANI NA WAKANDARASI WAZALENDO.

Jengo la Kibiashara linalojengwa na Kampuni ya Kigeni Jijini Mwanza.
Watanzania wameshauriwa kujenga imani na Wakandarasi wa ndani na hivyo kutoa tenda za ujenzi kwa Makampuni ya kizalendo badala ya kuwategemea wakandarasi kutoka nje ya nchi.

Binagi Media Group kupitia Binagi Radio inakujuza habari hii kwa njia ya Sauti.
Bonyeza Play Hapa Chini Kusikiliza
 Bonyeza HAPA Kusoma Habari Hii

No comments:

Powered by Blogger.