LIVE STREAM ADS

Header Ads

MTANGAZAJI WA CITY FM RADIO YA JIJINI MWANZA ASHIRIKI KAMPENI YA PIGA KURA, EPUKA KULA.

"Naitwa Imani Hezron ni Mtangazaji na Mwandishi wa Habari wa City FM Radio ya Jijini Mwanza, Katika Kampeni hii ya Piga Kura, Epuka Kula napenda Kuwaasa Wanzania waliojiandikisha katika daftari la Wapiga kura kushiriki kupiga Kura kwa amani na utulivu na kuwachagua viongozi bora bila kushawishika kwa namna yoyote kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu wakiwemo watoto wetu ambao hawana fursa ya kupiga kura".
Bonyeza HAPA Ili Kujua Zaidi Juu ya Kampeni hii ya Piga Kura, Epuka Kula inayoratibiwa na Binagi Media Group.

No comments:

Powered by Blogger.