LIVE STREAM ADS

Header Ads

HONGERENI BWANA MTANDA PAMOJA NA BIBI BAKARI WA JIJINI MWANZA KWA KUWA MWILI MMOJA.

Leo Jumamosi ya Septemba 04, 2015 ni siku yenye furaha kubwa kwa mtaalamu wa Kamera wa Chanel Ten Mwanza bwana Hussein Elias Mtanda wa Bwiru Jijini Mwanza (Kulia) pamoja na Bi.Ramla Zuberi Bakari (Kushoto) baada ya kuungana na kuwa mwili mmoja yaani Mme na Mke. Sherehe ilifanyika jana Septemba 04, 2015 katika Ukumbi wa Aspen Hotel Jijini Mwanza.
Na:George GB Pazzo
Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Harusi akiwakaribisha Maharusi Ukumbini.
Maharusi wakikata Utepe kuingia Ukumbini
Maharusi wakikata Utepe kuingia Ukumbini
Ni Furaha kubwa sana kwa ndugu, jamaa na marafiki
Bwana Hussein Elias Mtanda (Kulia) pamoja na Mkewe Ramla Zuberi Bakari (Kushoto)
Wazazi Upande wa Bibi Harusi
Wazazi Upande wa Bwana Harusi

No comments:

Powered by Blogger.