LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAGUFULI AFURAHISHWA NA MAPOKEZI MAKUBWA ALIYOYAPATA JIJINI MWANZA.

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili jana katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa kuomba kura kwa wananchi.
Katika mkutano huo Dkt.Magufuli alipata mapokezi makubwa kiasi cha kuuufanya Uwanja wa Furahisha kuelemewa na idadi ya wananchi na Makada wa CCM waliofika uwanjani hapo.
Akizungumza katika Mkutano huo,Dkt.

Magufuli alishindwa kuficha hisia zake na kueleza kuwa Mwanza wamejitokeza kwa wingi sana kiasi cha kufanya idadi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo kutofikiwa na idadi yoyote ya wananchi waliojitokeza katika mikutano ya kisiasa barani Afrika.

Katika hotuba yake Dkt.Magufuli alisisitiza kwamba hatawaangusha watanzania ikiwa watampa ridhaa ya kuwa rais wao katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajia kufanyika Octoba 25 mwaka huu na kuongeza kuwa atahakikisha anasimamia vyema shughuli za maendeleo ikiwemo kufufua viwanda vilivyobinafsishwa na havifanyi kazi, kutoa elimu kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha nne pamoja na kuondoa kero ya ushuru inayowakabiri watanzania hivi sasa.

Kwa ajili ya maendeleo yao, dkt.Magufuli aliwaomba watanzania kuwachagua viongozi wanaotokana na CCM Kuanzia ngazi ya Madiwani, Wabunge na Rais ambapo aliwatambulisha wagombea mbalimbali Mkoani Mwanza akiwemo Stanslaus Mabula ambae ni mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana pamoja na Angelina Mabula ambe ni Mgombea ubunge jimbo la Ilemela.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza baada ya mkutano wa kuomba kura
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwa ajili ya mkutano wa kuomba kura kwa wananchi.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Miraji Mtaturu akizungumza katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mwanza Dkt.Antony Diallo akizungumza katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa CCM nchini Ndg.Abdallah Bulembo akizungumza katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza kwenye mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Shairi tamu pia lilikuwepo
Makda wa CCM na Wananchi wa Jiji la Mwanza wakiwa katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Mgombea Ubunge jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza Angelina Mabula (Mwenye Miwani katikati) akiwa pamoja na Mgombea Ubunge Jimbo la Nyamagana Stanslaus Mabula (Mwenye saa mkononi) pamoja na Makada wengine wa CCM katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini

Wananchi wakisikiliza sera katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Wanasa Matukio Kazini
Shilole Kazini. Pia wasanii mbalimbali walikuwepo ikiwa ni pamoja na Makomandoo, Tot Plus, Chege na Temba, Orginal Comedy, Young Killer, Fid Q pamoja na Wasanii mbalimbali wa Bongo Movie.
Chege (Kushoto) na Temba (Kulia) kazini
Youn Killer Mwanza Mwanza Kazini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni Wananchi wakisikiliza sera katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
Ni katika Uwanja wa Furahisha kwenye mkutano wa hadhara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Pombe Magufuli wa kuomba kura kwa wananchi katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu nchini
BINAGI MEDIA GROUP, KWA PAMOJA TUIJUZE JAMII

No comments:

Powered by Blogger.