MATUKIO YA HAPA NA PALE KATIKATI YA JIJI LA MWANZA KUELEKEA KATIKA MKUTANO WA UKAWA.
Kuanzia saa tatu asubuhi katika ya Jiji la Mwanza kumeonekana misarafa na makundi mbalimbali yakielekea katika Uwanja wa Furahisha ambapo kutakuwa na Mkutano wa Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Edward Ngoyai Lowasa.
Mkutano huo unaanza rasmi saa nane mchana na unatarajiwa pia kuhudhuriwa na wagombea pamoja na viongozi mbalimbali wa Ukawa.
Kuelekea Furahisha
Kuelekea Furahisha
Kuelekea Furahisha
Hiace Kuelekea Furahisha
Wengine wameiga mapigo ya Lowasa
Kuelekea Furahisha
Kuelekea Furahisha
Mahojiano pia yanaendelea mtaani
Jiji la Mwanza limekuwa na mrorongo wa hapa na pale ambapo makundi yanapita kila kona ya Jiji kuelekea katika Uwanja wa Furahisha kwenye Mkutano wa Ukawa.
No comments: