Kipindi hiki hukujia kila JUMATATU, kujadili mambo mbalimbali na zaidi kuhusu UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA 2015.
Ni kipindi cha mwisho kabla ya uchaguzi, na washiriki wengi walishiriki kutoa mchango wao kuhusu mchakato ulivyokuwa, na neno ama wosia wao kwa waTanzania wote, KARIBU
SIKILIZA KIPINDI CHA MWISHO CHA "JUKWAA LANGU" KABLA YA UCHAGUZI MKUU NCHINI TANZANIA.
Reviewed by
BMG Media
on
October 21, 2015
Rating:
5
No comments: