MAMIZ GRAND RESORT ILIYOPO MKOLANI JIJINI MWANZA IPO KWA AJILI YAKO WIKENDI HII.
Usijiulize utaenda wapi wikendi hii ukiwa Jijini Mwanza, Mamiz Grand Resort iliyopo Mkolani ni pahala panapokufaa wewe, marafiki na familia yako. Kuna chakula safi na vinywaji vya kila aina pamoja na michezo mbalimbali kwa ajili ya watoto.
Panastahili sana kwa ajili ya mapumziko na familia ambapo pananogeshwa na muziki laini kutoka kwa madj wetu wenye umahili wa hali ya juu pamoja na Live Band.
Kumbuka pia kuna vyumba safi na vya kuvutia kwa ajili ya mapumziko. Fika Mamiz Grand Resort leo, Ujionee utofauti uliopo.
No comments: