LIVE STREAM ADS

Header Ads

MASHINDANO YA MITUMBWI YA BALIMI KANDA YA ZIWA YAZINDULIWA JIJINI MWANZA.

Kushoto ni Godwin Zakaria ambae ni Meneja wa Kanda, Mauzo na Usambazaji Kanda ya Ziwa (TBL) akimkabidhi Mwenyekiti wa mbio za Mitumbwi nchini Richard Mgabo (Kulia) ikiwa ni katika Uzinduzi wa Mbio za Mitumbwi za Kanda ya Ziwa. 
Na:George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
Hafla ya uzinduzi huo imefanyika juzi jumamosi katika viwanja wa Kampuni ya Bia Tanzania Breweries TBL Mkoani Mwanza ambao ni watengenezaji wa bia ya Balimi Extra Lager (wadhamini wakuu wa mashindano hayo) vilivyopo Ilemela Mkoani Mwanza.

Mashindano hayo ambayo yanafanyika kwa mara ya 15 katika msimu wa mwaka 2015/16 yanatarajiwa kuanza tarehe 12.12.2015 Mkoani Kagera na kuendelea katika Mikoa mingine kama ifuatavyo;
Tarehe 26.12.2015 Musoma Mkoani Mara, 16.01.2016 Jijini Mwanza, 23.01.2016 Ukerewe na tarehe 30.01.2016 Mkoani Geita ambapo mashindano hayo yanatarajiwa kuvutia zaidi msimu huu baada ya kuboreshwa zaidi.
Kushoto ni Godwin Zakaria ambae ni Meneja wa Kanda, Mauzo na Usambazaji Kanda ya Ziwa (TBL) akimkabidhi Mwenyekiti wa mbio za Mitumbwi nchini Richard Mgabo (Kulia) ikiwa ni katika Uzinduzi wa Mbio za Mitumbwi za Kanda ya Ziwa. 
Hafla ya uzinduzi huo imefanyika juzi jumamosi katika viwanja wa Kampuni ya Bia TBL ambao ni watengenezaji wa bia ya Balidi (wadhamini wa mashindano hayo) vilivyopo Ilemela Mkoani Mwanza.
Kushoto ni Godwin Zakaria ambae ni Meneja wa Kanda, Mauzo na Usambazaji Kanda ya Ziwa akimkabidhi Mwenyekiti wa mbio za Mitumbwi nchini Richard Mgabo (Kulia) ikiwa ni katika Uzinduzi wa Mbio za Mitumbwi za Kanda ya Ziwa. 

Wengine ni wawakilishi wa Wakimbiza Mitumbwi Mikoa ya Kanda ya Ziwa.
Uzinduzi wa Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi Kanda ya Ziwa
Ni katika uzinduzi wa Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi Kanda ya Ziwa
Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi Kanda ya Ziwa jana yamezinduliwa rasmi ambapo yanatarajiwa kuanza kukata upepo wa Ziwa Victoria hivi karibuni.
Burudani. 
Ni katika uzinduzi wa Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi Kanda ya Ziwa
Burudani.
Ni katika uzinduzi wa Mashindano ya Mitumbwi ya Balimi Kanda ya Ziwa
Live Band.

Wadau.

No comments:

Powered by Blogger.