LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKILIZA KIPINDI CHA "JUKWAA LANGU" NOVEMBA O9,2015 KIKIANGAZIA JUU YA TANZANIA YA SASA NA IJAYO.

Katika kipindi cha JUKWAA LANGU tulipata fursa kumhoji aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali kupitia CHADEMA Liberatus Mwang'ombe.

Pia, tuliangalia (mbali na mambo mengine), mwanzo wa awamu ya tano ya utawala wa Tanzania, na matarajio ya wengine.
Tunaizungumzia TANZANIA ya sasa na ile ijayo....hasa tutakayo.

Tuambie...
1: Je! Ni lipi unalokumbuka zaidi kuhusu uongozi wa Rais Jakaya Kikwete?
2: Unazungumziaje namna Rais Magufuli alivyoanza wiki ya kwanza ofisini?
Na ninj ungependa viwe vipaumbele kwa uongozi huu??
3: Una matumaini na matarajio gani na bunge la 11 litakalosimikwa rasmi hivi karibuni?

No comments:

Powered by Blogger.