LIVE STREAM ADS

Header Ads

TIMU YA SOKA YA KENYA YATEPETA DHIDI YA CAPE VERDE KATIKA HATUA YA MAKUNDI.

Kenya nayo imeshindwa kufuzu katika hatua ya makundi kuwania kucheza Kombe la Dunia baada ya kufungwa kwa mabao 2-0 na Cape Verde ikiwa mjini Praia.
Kipigo hicho kinaifanya Kenya kuondoka kwa jumla ya mabao 2-1 kwa kuwa ilishinda kwa bao 1-0 mjini Nairobi katika mchezo wa kwanza.

No comments:

Powered by Blogger.