LIVE STREAM ADS

Header Ads

BINAGI MEDIA GROUP YASHIRIKI ZOEZI LA USAFI NA WAKAZI WA MTAA WA MKUDI JIJINI MWANZA.

Mkurugenzi Mtendaji wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo akiwa na koleo kwa ajili ya kushiriki zoezi la Kitaifa la kufanya Usafi na Wakazi wa Mtaa wa Mkudu, Kata ya Nyamanoro, Ilemela Jijini Mwanza ikiwa ni katika utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli la kufanya usafi nchi nzima katika tarehe ya leo (Desemba 9.2015), tarehe ambayo Tanganyika ilipata uhuru kutoka kwa mkoloni (Desemba 9.1961) kwa lengo la kupambana na magonjwa yanayotokana na uchafu kama vile kipindupindu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Binagi Media Group (BMG) George Marwa Binagi-GB Pazzo akishiriki usafi katika Mtaa wa Mkudi Jijini Mwanza
Mmoja wa wakazi wa Mtaa wa Mkudi akishiriki zoezi la usafi katika Mtaa wake.
Wakazi wa Mtaa wa Mkudi wakishiriki zoezi la usafi katika Mtaa wao.

Watoto nao walishiriki usafi katika Mtaa wa Mkudi
Wakazi wa Mtaa wa Mkudi wakishiriki zoezi la usafi katika Mtaa wao.
Wakazi wa Mtaa wa Mkudi wakishiriki zoezi la usafi katika Mtaa wao.
Binagi Media Group imebaini kwamba uhamasishaji ukifanyika katika sekta mbalimbali kutakuwa na mafanikio makubwa tofauti na ilivyo hivi sasa. Mitaa mbalimbali Jijini Mwanza inang'aa
Happy Independence Tanganyika...Uhuru na Usafi

No comments:

Powered by Blogger.