LIVE STREAM ADS

Header Ads

FM ACADEMIA KUSHUSHA SHOW KALI HII LEO NDANI YA MAMIZ GRAND RESORT JIJINI MWANZA.

Mamiz Grand Resort inakuletea burudani kali kutoka kwa FM ACADEMIA-WAZEE WA NGWASUMA. Leo Ijumaa Desemba 12,2015 itapigwa show kali katika kiwanja cha Mamiz Grand Resort kwa kiingilio cha buku ten tu (10,000) mlangoni huku ukifurahia chakula safi pamoja na vinywaji vya kila aina.
Kesho Jumamosi Desemba 05,2015 Fm Academia watakuwa ndani ya Ukumbi wa Desire Park Mjini Geita na Kesho kutwa Jumapili Desemba 06,2015 itakuwa ndani ya Mji wa Kahama.
Kamera ya Binagi Media Group itakuwa pamoja na wewe kwenye zuria jekundu ili kunogesha zaidi show hii.

No comments:

Powered by Blogger.