Kipindi cha JUKWAA LANGU NOVEMA 30.2015 (Full Show).
Kipindi hiki hukujia kila jumatatu kuanzia saa 11 jioni kwa saa za Marekani ya Mashariki kuijadili Tanzania ya sasa na ile tuitakayo.
Katika kipindi hiki tumejadili (mbali na mambo mengine) muelekeo wa serikali ya awamu ya tano ya Tanzania.
Yanayofanyika yanaleta taswira gani kwa Tanzania? Na Je!
Yataendelea ama?
No comments: