LIVE STREAM ADS

Header Ads

NI KULA, KUNYWA NA KUCHEZA NDANI YA MAMIZ GRAND RESORT & MAMIZ GATE WAY JIJINI MWANZA.

Ili kusherekea Sikukuu ya Christmas 2015 pamoja na Mwaka mpya 2016, Mamiz Grand Resort na Mamiz Gate Way zote zilizopo Mkolani Jijini Mwanza zimekuandalia mazingira murua ya kufurahia wewe, familia, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki zako.

Katika Msimu huu wa Sikukuu utafurahia chakula kitamu ikiwa ni pamoja na samaki watamu wa Ziwa Victoria, vinywaji vya kila aina bila kusahau michezo kwa ajili ya watoto pamoja na Live Band. 
Piga 0767688330 au fika leo ili ujionee utofauti.

No comments:

Powered by Blogger.