LIVE STREAM ADS

Header Ads

SIKUKUU YA CHRISTMAS KATIKA MTAA WA BUGUTI MKOANI MARA, ALIECHELEWA ILIKULA KWAKE.

Ni katika Mtaa wa Buguti Kata ya Turwa, Wilaya ya Tarime Mkoani Mara, Watoto wakiwa katika banda la Video wakifuatilia Movies mbalimbali ikiwa ni katika kusherekea Sikukuu ya Christmas iliyoadhimishwa jana Desemba 25,2015 kote duniani.
Jana aliechelewa kuingia katika banda la Video alikosa nafasi ya kukaa maana palifurika sana kiasi kwamba wapo baadhi ya watoto ambao walikosa nafasi kabisa.
Binagi Media Group
Watoto wakifuatilia movie
Palifurika sana tofauti na ziku nyinginezo
Habari ilikuwa ni hii...wapo waliokosa pia nafasi

No comments:

Powered by Blogger.