LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW RELEASE: KWELI EMCEE-LIVING IN FREESTYLE.

OPPORTUNITIES, FREEDOM, POWER, KNOWLEDGE, APPRECIATION AND RESPECT, ARE LIVING IN FREESTYLE. 
Sasa unaweza kupakua na kusikiliza wimbo mpya kutoka kwake KWELI EMCEE. Wimbo umetengenezwa na MAN DVD ndani ya studio za BOKAZY ENTERTAINMENT. Katika msimu wa mwaka 2016 SIFA BINAFSI ikifungua dimba ikiwa ni zao kutoka BOKAZY pia.

FREESTYLE LIFE ikifuata katika kutafuta muonekano wenye usawa wa fikra na maarifa shirikishi katika kutatua baadhi ya mambo yanayotuzunguka katika jamii yetu, hasa yanayosadikika kuwa na matokeo hasi.
Image result for DOWNLOAD BUTTON

No comments:

Powered by Blogger.