Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu ametoa hisia zake kuhusu kuandikwa katika mitandao ya kijamii kupitia kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Clouds Fm.
Unaweza kumsikiliza hapa chini wakati akizungumzia jambo hilo.
HOYCE TEMU AZUNGUMZA KUHUSU KUANDIKWA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII (AUDIO).
Reviewed by BMG Media
on
February 15, 2016
Rating: 5
No comments: