LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW AUDIO: DIGITAL RAPA ft.COYO MC & NGETA-INAKUAJE.

Ni Wimbo unaovutia ukiwa unausikiliza. Ni kutoka kwa Msanii "Digital Rapa" kutoka Jijini Mwanza. Wimbo Unaitwa "INAKUAJE". Wameshirikishwa wakali wengine Kutoka Jijini Mwanza ambao ni Coyo Mc Pamoja na Ngeta. Producer ni P'Sila na Studio ni Acute Studio Jijini Mwanza.
SIKILIZA NA HATA KUUPAKUA WIMBO HUO HAPA

No comments:

Powered by Blogger.