NI TAMU KUSIKILIZA NA HAICHOSHI MASIKIONI. HII NI NGOMA MPYA KUTOKA KWA MSANII BITTO KITUKUU.
Katika anga la Muziki wa Hip Hop nchini Tz, imedondoshwa ngoma mpya kutoka kwa Msanii Bitto Kitukuu. Ngoma inaitwa "Wapekee". Ni ngoma tamu na isiyochosha kusikiliza masikioni.
Mimi binafsi nimebaini kwamba, ukianza kuisikiliza ngoma hiyo, huwa unatamani uirudie mara kwa mara na uzuri wake ni pale inaponoga zaidi ikifika mwishoni na hivyo kutamani kuisikiliza tena.
BONYEZA HAPA KUISIKILIZA.
Na George Binagi-GB Pazzo wa Binagi Media Group
No comments: