LIVE STREAM ADS

Header Ads

KESI YA KUPINGA MATOKEO JIMBO LA NYAMAGANA YAAHILISHWA TENA.

Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza leo imeahirisha tena kesi ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Jimbo la Nyamagana, hadi Machi 30, mwaka huu.
Katika kesi hiyo, aliekuwa mgombea wa Chadema Ezekiel Wenje (Pichani) anapinga ushindi wa Stanslaus Mabula (CCM), alietangazwa mshindi wa nafasi ya ubunge jimbo la Nyamagana, katika uchaguzi uliofanyika Octoba 25, mwaka jana kwa madai kwamba haukuwa huru na haki.

No comments:

Powered by Blogger.