LIVE STREAM ADS

Header Ads

HII NI FURSA NYINGINE KUTOKA MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS JIJINI MWANZA.

Hii ni fursa kubwa. Unakaribishwa Mikaela Professional Tailors ambao ni Mabingwa na Watalaamu wa Ushonaji wa Mavazi ya aina mbalimbali (Kike na Kiume) Jijini Mwanza ili ujionee Mavazi yaliyobuniwa kwa Ubunifu na Ustadi wa Kiwango cha kipekee.

Ofisi inapatikana Ghana Green View mkabara na Msikiti wa Thabiq barabara ya AirPort. Kwa Mawasiliano zaidi piga nambari 0688 44 74 44 au 0767 68 28 88. Pia Huduma zetu ni rafiki sana. Karibu.
Mavazi ya aina mbalimbali yanayobuniwa na kushonwa na Mikaela Professional Tailor ambao ni Mabingwa wa Ushonaji Jijini Mwanza.

No comments:

Powered by Blogger.