LIVE STREAM ADS

Header Ads

NEW COUPLE INTOWN: MSANII ELIZAYO HB NA MERRY MREMBO.

Jijini Mwanza, Msanii Elizayo HB (Kulia) anatamba katika mahusiano ya kimapenzi na mwanadada anaefahamika kwa jina la Mery Mrembo (Kushoto).

"Siku hizi hawaachani kabisa. Utakapomuona Elizayo basi na Mery yupo. Kiukweli hii ndiyo Couple inayotamba Jijini Mwanza kwa sasa". Kimeeleza chanzo chetu cha habari.

Juhudi za Binagi Blog kuwatafuta wawili hao ili kuzungumzia mahusiano hayo bado zinaendelea, baada ya kutafutwa kwa siku kadhaa bila mafanikio.

Elizayo HB ni miongoni mwa wasanii chipukizi Jijini Mwanza wanaofanya vizuri katika muziki, akitamba na nyimbo kama vile "Am Waiting For You", "Nafurahi Kuwa Nawe" pamoja na ngoma mpya inayofanya poa hivi sasa iitwayo "Slow Slow".
Na Mwanahabari Wetu, Binagi Media Group.

No comments:

Powered by Blogger.