LIVE STREAM ADS

Header Ads

NGOMA ZA BMG: CLEVER BOY Ft.BRAKAZ-ITAKUWA VIPI.

"Itakuwa Vipi". Anauliza Msanii Clever Boy. Ni katika ngoma aliyomshirikisha Brakaz. Hii ni ngoma ambayo imeingia katika kipengere kipya cha "Ngoma za BMG" kinatopachikwa kupitia Binagi Blog. Ngoma hii haichoshi kusikiliza. Kwa wapenzi wa mziki wa Hip Hop nchini, hii ni burudani murua kwao.
Sikiliza na Pakua Ngoma Hiyo HAPA

No comments:

Powered by Blogger.