LIVE STREAM ADS

Header Ads

WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI NAMABENGO MKOANI RUVUMA WAANDAMANA.

Wanafuzi 106 wa kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Namabengo wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma wameandamana kwenda kumwona mkuu wa mkoa Said Mwambungu kumpelekea malalamiko dhidi ya vitendo vya udharirishaji wanavyofanyiwa na makamu mkuu wa shule hiyo Shaibu Champunga. 
Ebu wasikilize kupitia RUVUMA TV on Line.

No comments:

Powered by Blogger.