LIVE STREAM ADS

Header Ads

KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AONGEA NA WAZAZI, WALIIMU NA WANAFUNZI WILAYANI MBULU, MANYARA.

Miongoni mwa mashina sita ya Wakereketwa wa Chama cha Mapinduzi CCM, yaliyozinduliwa na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka katika Wilayani Mbulu Mkoani Manyara jana.
Shaka yuko Wilayani humo kwa ajili ya ziara ya kikazi ili kukijenga na kukiimarisha chama.
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa, Shaka Hamdu Shaka akipanda mti mara baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari Tlawi ilioko wilayani Mbulu na kuhamasisha wanafunzi kuwa mabalozi wazuri katika kutunza Mazingira.

Mara baada Kaimu Katibu Mkuu UVCCM, Taifa Shaka Hamdu Shaka kuwasiri katika viwanja vya shule ya TLAWI Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Mbulu Danstani Panga akifungua Mkutano wa Hadhara
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akihutubia Mkutano huo ulio hudhuliwa Na Wazazi,Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari TLAWI
Wanafunzi wakisikiliza kwa Makini hotuba ya Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka
Pia katika Mkutano huo Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka H Shaka aliwaasa wanafunzi yakuwa "NYINYI NDIO TAIFA LA LEO SI LA KESHO CHA MSINGI MSOME KWA BIDII ILI KUTIMIZA MALENGO YENU"Maneno haya aliyazungumza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka na kuzidi kusema "Humu kwa miaka ijayo katika Shule hii Tutapata viongozi mbalimbali.
Wanafunzi wakimsindikiza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kwa nyimbo shangwe na nderemo mara baada ya kumaliza Mkutano wa hadhara katika shule ya Sekondari TLAWI
Wanafunzi wakimsindikiza Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kwa nyimbo shangwe na nderemo mara baada ya kumaliza Mkutano wa hadhara katika shule ya Sekondari TLAWI
Akisoma Taarifa ya CCM Wilaya ya Mbulu
Wazazi na Waalimu Wakimsikiliza Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kwa umakini.
Picha na Fahadin Siraji

No comments:

Powered by Blogger.