LIVE STREAM ADS

Header Ads

CHADEMA YAPOTEZA KATA TATU KATIKA KESI ZA KUPINGA MATOKEO YA UDIWANI JIJINI MWANZA.

Henry Matata, aliekuwa Mgombea Udiwani (CCM) katika Kata ya Kitangiri.
Uchaguzi wa Madiwani katika Kata ya Isamilo Jijini Mwanza pamoja na Nyamanoro na Kitangiri Manispaa ya Ilemela unatarajiwa kurudiwa baada ya CCM kushinda kesi za kupinga matokeo ya udiwani katika Kata hizo. Katika Uchaguzi wa Mwaka jana, Chadema ilishinda Kata hizo.

No comments:

Powered by Blogger.