LAKE FM YATOA FURSA KWA WANANZENGO WA MWANZA KUELEZA HISIA ZAO.
"Anaitwa #Yunis Mwananzengo kutoka Jijini Mwanza. Anaipenda sana #LakeFm
RAHA YAKE YA ROCK CITY NI MUZIKI WA MWANZA!
JE WEWE RAHA YAKO YA ROCK CITY NI NINI?
Follow Twitter, Facebook & Instagram @lakefmmwanza
#RahaYaRockCity #RadioYaWananzengo". Lake Fm imeandika katika kurasa zake za Mitandao ya kijamii.
No comments: