PALE RAHA YA ROCK CITY INAPOKOLEA KWA WANANZENGO.
Pale Raha ya Rock City inapokolea kwa Wananzengo (Wanajamii/ Wananchi). Kushoto ni #Macky na kulia ni #George kutoka Soko Kuu Jijini Mwanza. Raha yao ya Rock City ni
kufanya biashara kwa Amani.
Tune 102.5 Mwanza Follow Twitter, Facebook & Instagram @lakefmmwanza #RahaYaRockCity #RadioYaWananzengo Upate Raha!
No comments: