LIVE STREAM ADS

Header Ads

USIHOFU, NI HAKI YAKO KUPENDEZA.

Kumbuka Kupendeza hakuji hivi hivi bali kunachangizwa na mambo mbalimbali kama vile Mavazi. Usihofu namna ya kufanya ili Upendeze katika suala la Mavazi.

Mikaela Professional Tailors ambao ni Wabunifu na Washonaji wa Mavazi ya kila aina watakushonea Mavazi bomba ambayo yatakufanya ewe mwanaume mtanashati kupendeza pamoja na wewe mwanamke mrembo kupendeza zaidi.
Wanapatikana Ghana Green View Jijini Mwanza, Wasiliana nao kwa nambari 0688 44 74 44 au 0767 68 28 88 kwani ni haki yako kupendeza. 

No comments:

Powered by Blogger.